Mkataba huu wa Huduma unaweka bayana huduma zinazotolewa na Idara ya Elimu, Teknolojia na Usambazaji Habari pamoja na viwango na ahadi za utoaji wa huduma kwa wananchi na wadau. Pia unaeleza matarajio ya wateja, wajibu wa watumiaji wa huduma, njia za kupata huduma, pamoja na utaratibu wa kutoa maoni na kuwasilisha malalamiko, kwa lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji na utoaji wa huduma unaozingatia mahitaji ya wananchi.
File Type:
pdf
File Size:
178 KB
Categories:
Policies & Legislation